Recommended For You

About the Author: All Update Tv

24 Comments

  1. I don't trust youtubers, they are here to waste people's time to get revenue from ads viewed, if you happen to see ghost then you bought Jin they are fighting you. From 254.

  2. Msidanganye watu. Hakuna mtu amewahi kumuona shetani kwa umbo lake kama ilivyo tu kwa Mungu. Ni kwa sbb shetani ni roho na kama alivyo Mungu. Roho hazina maumbo na hazionekani kwa macho wala kwa camera za CCTV. Kwa kuwa ni roho, hutafuta umbo lolote iwe mnyama, mtu, mti nk na kulitumia ili kutenda kazi zinazotaka kutenda. Roho zinadhirika kwa matokeo (impacts) yake!!

  3. Wabongo nasisi maneno mengi, uchawi sisi wabongo ndo tunaongoza kudadeki, lakini tunajikuta tunakataa hii video sio kweli, but actually hii video ni ukweli mtupu, hakuna edit hata kidogo. Tumwombe mungu tu atuepushe nayo hayo

Comments are closed.